Sale!

Kiswahili Paper 2: Form 4 QA Model – Document ID 20250302001

Original price was: KSh 75.00.Current price is: KSh 50.00.

Section 1: UFAHAMU (Comprehension) – 15 Marks

  1. (a) Kwa mujibu wa kifungu wahalifu bado wanazizidi nguvu asasi za kiusalama katika jamii. Eleza. (alama 1)
  2. (b) Onyesha jinsi teknolojia imeimarisha usalama katika sekta ya usafiri. (alama 1)
  3. (c) Ni kwa njia gani teknolojia imesaidia kupatikana kwa haki? (alama 2)
  4. (d) Eleza manufaa ya kutumia miale kama njia ya kuzuia uhalifu. (alama 3)
  5. (e) Taja mambo mawili ambayo yanafaa kuiongoza jamii wakati wa kuteua mbinu ya kuukabili uhalifu. (alama 2)
  6. (f) Teknolojia ya kisasa katika kuukabili uhalifu imeelezwa kuleta changamoto zipi? (alama 3)
  7. (g) Eleza maana ya msamiati huu kama ulivyotumiwa kwenye kifungu. (alama 3)
    • i) Viunga
    • ii) Zinazolanguliwa
    • iii) Unyanyapaa

Section 2: MUHTASARI (Summary) – 15 Marks

  1. (a) Ni nini maoni ya mwandishi kuhusu suala la ugaidi? (alama 7, 1 utiririko)
  2. (b) Kwa kutumia maneno yasiyozidi 50, fupisha aya mbili za mwisho. (alama 6, 1 utiririko)
  3. (c) Nakala safi

Section 3: MATUMIZI YA LUGHA (Language Usage) – 40 Marks

  1. (a) Sauti /ch/ ina sifa zipi? (alama 2)
  2. (b) Akifisha kifungu kifuatacho: baba kwa mshangao salale umechoma shati langu yaya akitetemeka samahani si kosa langu (alama 3)
  3. (c) Tambua miundo yoyote minne ya nomino za ngeli ya A-WA. Toa mifano. (alama 2)
  4. (d) Nyambaka alimwambia Ochiel kuwa angemlipa pesa zake siku hiyo jioni. Andika katika usemi halisi. (alama 2)
  5. (e) Vitaje na uvinyambue vitenzi vyovyote viwili vyenye asili ya kigeni katika kauli ya kutendeana. (alama 2)
  6. (f) Ainisha shamirisho katika sentensi ifuatayo: Tulipikiwa pilau kwa chungu. (alama 3)
  7. (g) Tunga sentensi moja iliyo na chagizo ya namna halisi na ya namna hali. (alama 2)
  8. (h) Ainisha vitenzi katika sentensi ifuatayo: Ingawa hajalipwa mshahara, angali anaikimu familia yake. (alama 3)
  9. (i) Kanusha sentensi ifuatayo katika hali ya ukubwa wingi: Hiki kijiti kilitolewa kwenye mti ule mrefu. (alama 3)
  10. (j) Tumia neno haraka kama nomino na kielezi katika sentensi moja. (alama 2)
  11. (k) Changanua sentensi ifuatayo kwa kutumia visanduku: Rosamaria alipata kitabu chake kipya kilichopotea jana. (alama 4)
  12. (l) Tambua na uainishe viwakilishi katika sentensi ifuatayo: Aliniitisha zawadi uliyokuwa umenituma nimpelekee Hadija. (alama 2)
  13. (m) (i) Kishazi ni nini? (Alama 1)
    (ii) Tunga sentensi iliyo na kishazi huru na kishazi tegemezi. (alama 2)
  14. (n) Tunga sentensi moja kuonyesha matumizi mawili tofauti ya kiambishi ‘ku’. (alama 2)
  15. (o) Tambua hali na wakati gani katika sentensi ifuatayo: Zawadi atakuwa anasoma nitakapofika. (alama 2)
  16. (p) Tofautisha silabi funge na silabi wazi. Toa mfano mmoja mmoja kwa kila mojawapo. (alama 3)

Section 4: ISIMUJAMII (Sociolinguistics) – 10 Marks

  1. (a) Eleza maana ya istilahi zifuatazo:
    • (i) Linguafranka
    • (ii) Sajili
    • (iii) Lahaja
    • (iv) Uwili lugha
    • (v) Lugha sanifu
  2. (b) Eleza majukumu yoyote sita ya Kiswahili nchini Kenya. (alama 6)

These questions cover various aspects of language comprehension, summarization, language usage, and sociolinguistic concepts related to the Kiswahili language.

Share this Product

Description

The document is a Kiswahili examination paper, specifically “KCSE MOCK-KISWAHILI PAPER 2,” designed for students in Kenya. It comprises various sections that assess different aspects of the Kiswahili language, including comprehension, summary writing, language usage, and sociolinguistics. Below is a comprehensive overview of the document’s structure and content:

General Structure

  1. Header Information:
    • Contains details for the candidate, including name, number, and class.
    • Specifies the paper’s title, subject (Kiswahili), date, and time allotted for the exam (2½ hours).
  2. Instructions:
    • Candidates are instructed to fill in their personal details and sign the paper.
    • Emphasizes the importance of answering all questions and ensuring that all pages are printed correctly.
  3. Scoring Breakdown:
    • Clearly outlines the marks allocated to each question and section, totaling to 100 marks.

Content Overview

  1. Section 1: UFAHAMU (Comprehension) – 15 Marks
    • Candidates are required to read a passage discussing the role of technology in enhancing security against crime.
    • The passage explains both the benefits and potential dangers of technological advancements in law enforcement.
    • Questions following the passage prompt students to analyze and extract information regarding:
      • The challenges faced by law enforcement in combating crime.
      • The impact of technology on transportation security.
      • The role of surveillance technology in ensuring justice.
  2. Section 2: MUHTASARI (Summary) – 15 Marks
    • Candidates are asked to provide their opinion on terrorism, highlighting the author’s views on its nature, implications, and the police’s inadequacies in addressing this issue.
    • Additionally, students must summarize the last two paragraphs of the provided text, demonstrating the ability to condense information succinctly.
  3. Section 3: MATUMIZI YA LUGHA (Language Usage) – 40 Marks
    • This section assesses students’ understanding of various linguistic concepts, including:
      • Phonetics (characteristics of specific sounds).
      • Sentence restructuring and transformation.
      • Identification and classification of nouns and verbs.
      • Sentence analysis using grammatical structures.
      • Application of vocabulary and idiomatic expressions in sentences.
  4. Section 4: ISIMUJAMII (Sociolinguistics) – 10 Marks
    • Candidates are required to explain specific linguistic terms like ‘lingua franca,’ ‘register,’ ‘dialect,’ and ‘standard language.’
    • This section also involves discussing the roles of the Kiswahili language in Kenya, highlighting its importance in communication and education.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kiswahili Paper 2: Form 4 QA Model – Document ID 20250302001”

Your email address will not be published. Required fields are marked *